IQNA

Mashindano ya Qur'ani ya Iran

Video| Qiraa ya heshima ya "Mahdi Gholamnejad" katika siku ya pili ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Iran

13:58 - February 19, 2024
Habari ID: 3478377
IQNA-Ustadh Mehdi Gholamnejad, msomaji au qari wa kimataifa wa Iran alisoma aya za Surah Hud na Kautha katika siku ya pili ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran.

Kwa mujibu wa IQNA, Mehdi Gholamnejad, msomaji wa kimataifa wa Qur'ani wa Iran, alisoma aya ya 40 hadi 47 za Surah Hud na Surah Kauthar katika siku ya pili ya Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran na Awamu ya 8 Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanafunzi yanayofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Tehran.

Habari zinazohusiana
captcha